JPM awasilisha fomu za tamko la mali, madeni yake
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewasilisha tamko linalohusu Mapato, Rasilimali na Madeni ya viongozi katika Ofisi ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma ikiwa ni utekelezaji wa matakwa ya kisheria na kikatiba.