Manara aingilia kati usajili wa kocha Yanga Haji Manara (kushoto), Hersi Said akiwa na kocha wa zamani wa Hispania Vicente del Bosque Afisa Habari wa Simba, Haji Manara hajauacha salama mchakato wa kumpata kocha mpya unaoendelea ndani ya klabu ya Yanga. Read more about Manara aingilia kati usajili wa kocha Yanga