Anaswa amebeba vipodozi haramu akidai ni mtoto
Maafisa wa polisi nchini Uganda, wamemkamata mwanamke mmoja aliyekuwa akivuka mpaka wa nchi hiyo kutokea nchini Congo, akiwa amebeba vipodozi haramu alivyokuwa amevifungasha na kuvivalisha kwenye nguo ya mtoto, ambayo ilileta uhalisia wa mtoto mdogo.

