Kenya : Magaidi wavamia Shule, wauwa Walimu Watu wanaodhaniwa kuwa ni magaidi wa kundi la Al - Shabaab, wamewaua watu watatu wanaodaiwa kuwa ni Walimu katika Shule ya Kamuthe Resource Center ya nchini Kenya katika eneo la Garissa. Read more about Kenya : Magaidi wavamia Shule, wauwa Walimu