Kagera: Mtoto afariki akivua ziwani

Watu watano wamefariki Dunia mkoani Kagera, kufuatia matukio mawili tofauti yaliyotokea, katika wilaya ya Ngara na Muleba, akiwamo mtoto mmoja mwenye umri wa miaka kumi aliyekufa maji, wakati akivua Samaki katika Ziwa Victoria.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS