Tahadhari ya Microsoft kwa watumiaji wa Windows 7 Mfumo endeshi wa Windows 7 Kampuni ya kiteknolojia ya Microsoft imetoa tahahadhari kwa watumiaji wa mfumo endeshi wa kompyuta wa Windows 7 kuwa ifikapo Januari 14 haitatoa msaada kwenye vifaa vyao. Read more about Tahadhari ya Microsoft kwa watumiaji wa Windows 7