Dr Kigwangalla aongoza kampeni 'Twenzetu Kinature'
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dr. Hamis Kigwangalla ameongoza watu mashuhuri wakiwemo wasanii wa muziki wa kizazi kipya na wasanii wa filamu nchini katika kampeni ya kuhamasisha Watanzania kufahamu vivutio vya ndani.