Mke asimulia mumewe kukutwa porini mtupu na panga
Mama Mzazi wa mtoto aliyekutwa mtupu, huku Baba yake akiwa ameshikilia Panga na msumeno katika maporomoko ya maji mkoani Morogoro, Marry Shao, amesema kuwa mumewe huyo alianza kubadilika siku za hivi karibuni na kuanza kuongea maneno ya ajabu hadi siku ya juzi alipokamatwa.