Kaka wa Tito Magoti azungumzia kauli ya Mambosasa
Kaka wa Tito Magoti aliyejitambulisha kwa jina la Edwin Magoti, amesema kuwa familia imesikitishwa na kitendo cha ndugu yao kukamatwa, ambapo licha ya Jeshi la Polisi kuthibitisha kumshikilia lakini hadi sasa hawajui kosa lake na wala hawafahamu yupo kituo gani.