Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Tanzania yashiriki mjadala wa maji nchini Marekani

Saturday , 25th Mar , 2023

Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameshiriki katika mjadala wa Uongozi na Usimamizi wa Masuala ya Maji uliofanyika pembezoni mwa Mikutano ya Maji ya Umoja wa Mataifa inayoendelea New York Marekani

Mjadala huo ambao uliandaliwa na Nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania na Afrika Kusini pamoja na mashirika mbalimbali ikiwemo GWP, UNICEF na UNDP

Ulihudhuriwa na mgeni Rasmi ambaye ni Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstafu wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa GWPSA na Mwenyekiti mwenza wa Jopo la Viongozi Maafuru kuhusu uwekezaji katika Sekta ya Maji.

Katika mchango wake, Waziri Aweso alibainisha uongozi imara wa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika agenda ya kwa kuongeza msukomo na utashi wa kisiasa, kuongeza bajeti ya maji; na kuimarisha taasisi zinazohusiana na usimamizi wa huduma za maji na utekelezaji wa Miradi ya Maji.

Katika kutekeleza hilo, Tanzania inatekeleza Programme ya Maendeleo ya Sekta ya Maji awamu ya tatu yenye thamani ya Doal za Kimarekani Bilioni 6.47 na mwezi Mei 2023 itazindua Programu ya Uwekezaji katika Sekta ya Maji (Tanzania Water Investment Programme 2023-2030).

Kupitia mjadala huo, Tanzania imeongeza wadau mbalimbali wa kushirikiana nao katika Sekta ya Maji

HABARI ZAIDI

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko

Serikali yaipongeza Red Cross

Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa

Aonya wanaochangia watumishi kutopanda madaraja

Edgar Lungu, Rais wa Zamani Nchini Zambia Akitembea Kuzunguka Mji Mkuu wa Lusaka

Rais wa zamani Zambia Bw. Lungu hatarini kukamatwa

Mkuu wa Ulinzi Ukraine (Picha ya Website)

Zelensky amfukuza kazi mkuu wake wa ulinzi

Baadhi ya Wananchi wa Chindi na Ntinga wakiwa katika Harakati za Kuvuka Mto

Walazimika kulipa hadi 8000 kuvuka mto kwa mtumbwi

Mohamedi Mchengerwa, Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).

Wanaozuia watumishi kupanda vyeo wakaliwa kooni

Bujukano Mahungu John, Mwenyekiti wa Umoja wa Waganga na Wakunga wa Tiba Asili Tanzania

Waganga wa jadi waungana kukemea ukatili, Geita

Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

Mvua zilizoambatana na upepo zimeua watu watano TZ