Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Wananchi kimala kuchangia huduma ya maji

Friday , 2nd Dec , 2022

Mkurugenzi wa usambazaji maji safi na usafi wa mazingira kutoka Wizara ya Maji CPA. Joyce Msiru amewaasa wananchi wa Kimala Wilayani Kilolo Iringa kutunza miundombinu ya miradi ya maji na kuepuka uharibifu wa mazingira na kuhakikisha wanatunza vyanzo vya maji ili miradi inayojengwa iweze k

Msiru aliyasema hayo katika kijiji cha Kimala wilaya ya Kilolo mkoani Iringa, alipoungana na timu ya wataalamu wakala wa maji na usafi wa mazingira vijijini (Ruwasa).

Kwa upande wao wananchi wa Kimala wakizungumza kwa nyakati tofauti wamesema, tatizo la maji katika kijiji cha Kimala kilichopo mpakani mwa Mikoa ya Iringa na Morogoro ni la miaka mingi na lime sababisha wakazi wa kijiji hicho kutumia muda mwingi kutafuta maji kwa matumizi ya kila siku badala ya kufanya kazi nyingine za uzalishaji mali.

Ruwasa inaendelea kuwekeza fedha na kujenga miradi ya maji ili huduma hiyo iweze kuwafikia wananchi wengi katika vijiji mbalimbali hapa nchini. Mradi wa maji wa Kimala umeshaanza kutoa huduma ya maji ingawa bado upo asilimia 75 ya utekelezaji. Utakapokamilika utagharimu
shilingi 561,490,794.38.

Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA Mhandisi Kivegalo amesema ni wajibu wa wakala wa maji kumaliza tatizo la maji kwa wananchi na imejipanga kufikia lengo hilo kwa kutekeleza miradi ya maji kwenye meneo yasiyokuwa na huduma hiyo.

Pia Kivegalo amewataka wananchi wa kijiji hicho na vingine ambavyo RUWASA inatekeleza ujenzi wa miradi ya maji kuchangia gharama za maji ili huduma hiyo iwe endelevu badala ya kurudi walikotoka kutumia vyanzo visivyo rasmi.

HABARI ZAIDI

Bashiri Mohamed (35) Mwenye Koti Jeusi akiwa anafikishwa Mahakamani Ilemela, Jijini Mwanza

Aliyezini na binti yake apandishwa kizimbani

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea

Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

Wanahabari wasisitizwa kuzingatia maadili ya kazi

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC atangaza msako kuwaondoa walinzi wazee kazini