Vifo vingi vimesababishwa na miti iliyoanguka ambavyo vimeripotiwa katika nchi za Italia, Austria, pamoja na visiwa vya Ufaransa vya Corsica
Mvua kubwa na upepo mkali vimepiga katika visiwa hivyo na kuleta uharibifu mbaya
Majanga hayo ya kimbunga yanafuatia wiki kadhaa za ukame na joto kali lililorindima katika bara la ulaya
Nyumba za watu zimeharibiwa vibaya, huku mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 13 akipoteza maisha kwa kuangulkiwa mna mti