Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Urusi yaisaidia Mali ndege tano za kijeshi

Wednesday , 10th Aug , 2022

Nchi ya Mali imepokea msaada wa ndege tano za kijeshi pamoja na helkopta za kivita kutoka nchini  Urusi ili kuimarisha mapambano yake dhidi ya vikundi vya kigaidi nchini humo

Kwenye hafla fupi ya makabidhiano ya vifaa hiyo vya kijeshi, waziri wa ulinzi nchini Mali Sadio Camara, amesifu msaada huo na kusema kuwa ni matunda mazuri ya mahusiano baina ya Mali na Russia.

 
Kwenye ukurasa wake wa Twitter Rais wa Mali alipost picha za vifaa hivyo muhimu vya kijeshi.

 
Mahusiano baoina ya nchi hizo mbili yamekua makubwa toka yalipotokea mapinduzi ya akijeshi mwezi may mwaka jana. 

Ufaransa iliyaondoa majeshi yake nchini Mali  baada ya  nchi hiyo kuonekana kuanza kuwa karibu na Russia.  Mashambulizi ya kijihad yamekua yakiongezeka katika wiki za hivi karibuni na kugharimu maisha ya watu. 
Wikiendi iliyopita majeshi ya kijihad yaliwaua raia 17 wakiwemo wanajeshi.

 
Jeshi la nchi hiyo limesema kuwa askari wengine 9 hawajulikani walipo huku 22 wakijeruhiwa

HABARI ZAIDI

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala