Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Meridian Bet yasaidia ujenzi kituo cha yatima

Sunday , 7th Mar , 2021

Uongozi wa kampuni ya kubashiri matokeo ya Meridian Bet imetoa mkono wa faraja kwenye kituo cha kulea watoto yatima cha Mama wa Huruma kilichopo Madale, Dar es Salaam.

Afisa Huduma wa jamii wa Meridian Bet, Amani Maeda aliyeambatana na meneja mwendeshaji, Corrie Borman wamesema kampuni yao imeguswa na changamoto ya kituo hicho na kujitoa kukisaidia.

Alisema kwa namna Meridian Bet inavyoguswa na jamii, wameona kusaidia kituo hicho ni wajibu wao kama ambavyo wamekuwa wakifanya kwa jamii yenye uhitaji.

"Tumetoa cement, gypsum poda na pesa kidogo kama kianzio katika ukarabati wa jengo ambalo linatumiwa kama bweni na watoto hawa ambalo tumeelezwa linatumika lakini halijakamilika kujengwa, pia tumetoa vyakula kama sukari, unga, mchele, mafuta na sabuni,".

Sister wa kituo hicho, Christina Christopher aliishukuru Meridian Bet na kueleza kwamba wamewapa faraja kipindi hiki ambacho wako kwenye changamoto ya watoto kulala kwenye jengo ambalo halijakamilika.

Alisema baadhi ya watoto wanalazimika kulala katika jengo hilo ili kupunguza msongomano kwenye jengo la awali kwa lengo la kuchukua tahadhari ya janga la corona kwa kupunguza msongamano kwenye jengo la awali.
 

HABARI ZAIDI

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala