Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Ofisi ya Taifa ya Takwimu yatangaza kushuka bei

Thursday , 8th Oct , 2020

Ofisi ya Taifa ya Takwimu, (NBS), imesema mfumuko wa bei wa taifa kwa mwaka unaoishia mwezi Septemba 2020 umepungua na kufikia asilimia 3.1 kutoka asilimia 3.3 kwa mwaka ulioishia mwezi Agosti 2020.

Kaimu Mkurungezi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii, Ruth Minja.

Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es Salaam na  Kaimu Mkurungezi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii, Ruth Minja, ambapo amesema kupungua kwa mfumuko wa bei kwa mwaka unaoshia Septemba kumechagiwa na kupungua kwa bei ya baadhi ya bidhaa za vyakula na bidhaa zisizo za vyakula kwa kipindi kinachoishia mwezi Septemba 2020.

Mfumuko wa Bei kwa mwaka ulioishia mwezi Septemba, 2020 umepungua kutokana na kupungua bei za bidhaa za vyakula na visivyokuwa vyakula”, amesema Minja.

Akizungumzia hali ya mfumuko wa bei kwa nchi za Afrika Mashariki kwa mwaka ulioishia mwezi Septemba 2020 amesema kwa nchi ya Kenya umepungua hadi asilimia 4.20 kutoka asilimia 4.36 kwa mwaka ulioishia mwezi Agosti 2020 na kwa nchi ya Uganda amesema mfumuko wa bei umepungua hadi kufikia asilimia 4.5 kutoka asilimia 4.6 kwa mwaka ulioishia mwezi Agosti 2020.

HABARI ZAIDI

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko

Serikali yaipongeza Red Cross

Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa

Aonya wanaochangia watumishi kutopanda madaraja

Edgar Lungu, Rais wa Zamani Nchini Zambia Akitembea Kuzunguka Mji Mkuu wa Lusaka

Rais wa zamani Zambia Bw. Lungu hatarini kukamatwa

Mkuu wa Ulinzi Ukraine (Picha ya Website)

Zelensky amfukuza kazi mkuu wake wa ulinzi

Baadhi ya Wananchi wa Chindi na Ntinga wakiwa katika Harakati za Kuvuka Mto

Walazimika kulipa hadi 8000 kuvuka mto kwa mtumbwi