Picha ya Marioo kulia kushoto ni Mr Nice
Meneja wa Elimu kwa Mlipakodi wa TRA Bw. Stephen Kauzeni akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya malalamiko ya Bw. Emmanuel Gadi mmiliki wa kampuni ya Wintech Tanzania Ltd anayedai kuwa, TRA imetengeneza mfumo wa kuingiza mizigo nchini nje ya mfumo halali wa Serikali kinyume na Sheria ya Forodha
BW. Ravnet Chowdhury akikabidhi taulo za kike kwa wanafunzi wa shule ya msingi Mashujaa.
Moshi ukifuka kufuatia shambulio la Israel katika ukanda wa Gaza
Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Stanslaus Nyongo, na kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga
