
Msimamo wa Ligi Kuu nchini Italia Serie A baada ya michezo 12 kuchezwa.

Ushindi wa goli nne kwa sifuri dhidi Osasuna mchezo uliopigwa uwanja wa Santiago Bernabéu Stadium siku ya Jumamosi ya Novemba 9 mchezo huo ulitamatika huku kukiwa na majeruhi wapya kwa kikosi cha mabingwa watetezi wa La liga, Eder Militao atakaa nje ya uwanja miezi 9 baada ya kuumia goti, Rodrygo Goes na Lucas Vazquez wote walipata majeraha kwenye mchezo huo.

Pichani ni Harmonize na Pastor Tony Kapola
Kikosi cha Liverpool msimu 2024-25 kinapewa nafasi ya kuwa mabingwa wa Ligi kuu Uingereza EPL msimu huu.

Askari WP.11725 Koplo Leokadia

SAMIA KAGERA CUP, yazinduliwa Bukoba

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, UTUMISHI Juma Mkomi akisalimiana na Mwakilishi wa ( JICA), Ara Hitoshi

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, UTUMISHI Juma Mkomi akisalimiana na Mwakilishi wa ( JICA), Ara Hitoshi.