Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mzee Yusuph ahitaji dua

Monday , 19th Jun , 2017

Alhaji Mzee Yusuph, amefunguka kwamba wananchi wamuombee dua ili aweze kupata moyo wa uvumilivu katika kipindi hiki alichofiwa  mke wake  Chiku Khamisi pamoja na mtoto wake mchanga  badala ya kuanza kuongea maneno ya unafiki yasiyokuwa na faida.

Alhaji Mzee Yusuph

Alhaji amefunguka hayo mara baada ya kuwapumzisha vipenzi vyake hivyo makaburini na kusema kwamba badala ya watu kuanza kuzungumza maneno ya unafiki, watumie muda huo kutafakari matendo yao duniani, ikiwa ni pamoja na kuwaombea dua waliotangulia pamoja na yeye aendelee kuwa jasiri.

"Niombeeni dua niwe na moyo wa subira, huu ni mtihani mkubwa sana ulionitokea. Muombeeni mke wangu pia aliyetangualia. Namshukuru Mungu mtihani umekuja kipindi ambacho nmemrudi kwaake laiti kama ningekuwa badio na mambno ya dunia sijui hata leo kingezungumzwa kitu gani" , alisema Mzee Yusuph.

Aidha Mzee Yusuph amekiri kwamba ameshakumbana na mitihani mingi tangu abadilishe muenendo wa maisha yake lakini kuhusu suala la kuondokewa na mke pamoja na mtoto mchanga ni pigo kubwa ambalo mpaka sasa haamini.

Mitihani mingi niliyoipitia haijanishtua lakini huu wa sasa mpaka sasa siamini nahisi kama bado naota, niombeeni nipate ujasiri nifaulu maana nikifeli katika hili nitakuwa sina tena dini" , Mzee Yusuph alisisitiza.

HABARI ZAIDI

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko

Serikali yaipongeza Red Cross

Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa

Aonya wanaochangia watumishi kutopanda madaraja

Edgar Lungu, Rais wa Zamani Nchini Zambia Akitembea Kuzunguka Mji Mkuu wa Lusaka

Rais wa zamani Zambia Bw. Lungu hatarini kukamatwa

Mkuu wa Ulinzi Ukraine (Picha ya Website)

Zelensky amfukuza kazi mkuu wake wa ulinzi

Baadhi ya Wananchi wa Chindi na Ntinga wakiwa katika Harakati za Kuvuka Mto

Walazimika kulipa hadi 8000 kuvuka mto kwa mtumbwi