Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Linah aweka wazi hofu yake sasa

Friday , 16th Feb , 2018

Mwanamuziki diva wa Bongo Fleva, Linah Sanga ' Ndege Mnana' ameweka wazi hofu yake juu ya kuibiwa baba wa mtoto wake na wadada wa mjini (nyakunyaku) ndiyo sababu ya kupunguza kasi ya kumuweka mtandaoni kama jinsi ilivyokuwa awali.

Linah ameweka wazi hofu yake hiyo mbele ya kamer za eNEWZ wakati akifafanua tetesi za kupigwa kibuti na mfanyabishara huyo (Shabani Mchovu)  ambaye wamefanikiwa kupata mtoto wa kike mwaka 2017.

Linah amesema kwamba yeye na Mchovu tayari wana takribani miaka miwili kwenye mahusiano na watu wengi wanafahamu kuwa ni wapenzi hivyo kumuanika mitandaoni ni kuzidi kuwatamanisha nyaku nyaku kumnyakua mpenzi wake ili kutaka kujua anakitu gani ambacho yeye anakipata kwa mpenzi wake huyo.

Aidha mwanamuziki huyo ambaye amerudi na ngoma mpya 'Same Boy' aliyomshirikisha Rachel Kizunguzungu amesema kwamba  "mchumba wangu ni mtu ambaye anaheshima katika ofisi yake, hivyo siiwezi kumuingiza kwenye drama za kitoto au kumweka wazi haswa kwenye mitandao  kwa kuwa nahofia kumshushia heshima yake lakini pia. Hayo ni mambo ya kitoto sana kuanika mapicha picha ukiwa na mpenzi wako".

Aidha ameweka sawa tetesi za kuchwa na kusema kwamba mapenzi na mpenzi wake hayajapungua wala hayajaisha na tangu wafanikiwe kupata 

HABARI ZAIDI

Bashiri Mohamed (35) Mwenye Koti Jeusi akiwa anafikishwa Mahakamani Ilemela, Jijini Mwanza

Aliyezini na binti yake apandishwa kizimbani

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea

Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

Wanahabari wasisitizwa kuzingatia maadili ya kazi

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC atangaza msako kuwaondoa walinzi wazee kazini