Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Calisah kufungua duka la kuuza mimba

Friday , 13th Oct , 2017

Mwanamitindo Calisah ambaye hivi karibuni amekumbwa na skendo ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja baada ya kuonekana amevaa viatu vya kike, amesema anakusudia kufungua duka la kuwapa mimba wanawake.

Akizungumza kwenye eNewz ya East Africa Television, amesema anakusudia kufanya hivyo ili awasaidie wanawake wanaotaka kuzaa watoto wenye muonekano mzuri kama yeye, na wale ambao waume zao hawawezi kuzalisha kutokana na umri kuwa mkubwa (vibabu).

“Suala la kuzaa mimi mwenyewe ni kitu ambacho nilikuwa na plan nacho kwa sababu nimeshatoka na wanawake wengi, sema sikuwa tayari kuzaa mi bado kijana mdogo, hawa wote nilikuwa nao tu kwa mambo mengine, lakini kama kuna mtu atataka tuzae, naweka tu bao langu napiga inatoka pair flan kali, najua mtoto wangu atakuwa na maisha mazuri”, amesema Calisah.

Calisah ameendelea kwa kusema kwama...”Tunawajua wanawake wengi sana wazuri ambao wanaishi na wazee wana mapengo lakini ana hela, anajikuta anazaa naye kisa hela, tusijidharau wanaume, kwa hiyo mtu anakuja na mpunga wake nafanya chochote kwa pesa, mi kidume nanyoosha tu, aje tu na hela, kama wanawake wazuri wanatembea na watoto wazuri, kwa nini sisi wanaume tusifanye hivyo? Anakuja anatoa hela, tunapiga tunatoa pair yetu”.

Itazame vdeo yote hapa chini akizungumza hilo.

HABARI ZAIDI

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko

Serikali yaipongeza Red Cross

Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa

Aonya wanaochangia watumishi kutopanda madaraja

Edgar Lungu, Rais wa Zamani Nchini Zambia Akitembea Kuzunguka Mji Mkuu wa Lusaka

Rais wa zamani Zambia Bw. Lungu hatarini kukamatwa

Mkuu wa Ulinzi Ukraine (Picha ya Website)

Zelensky amfukuza kazi mkuu wake wa ulinzi

Baadhi ya Wananchi wa Chindi na Ntinga wakiwa katika Harakati za Kuvuka Mto

Walazimika kulipa hadi 8000 kuvuka mto kwa mtumbwi

Mohamedi Mchengerwa, Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).

Wanaozuia watumishi kupanda vyeo wakaliwa kooni

Bujukano Mahungu John, Mwenyekiti wa Umoja wa Waganga na Wakunga wa Tiba Asili Tanzania

Waganga wa jadi waungana kukemea ukatili, Geita

Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

Mvua zilizoambatana na upepo zimeua watu watano TZ