Takwimu za mechi mbili walizokutana zinaonyesha timu ya Wananchi imeshinda michezo yote miwili dhidi ya Wapinzani wao siku ya leo (3-0, 1-0) Tabora United kutokea Tabora ambayo inashika nafasi ya 10 ikiwa imevuna alama 14 msimu huu.
Mwanafunzi anayedaiwa kubakwa
Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi kinashika nafasi ya tatu msimamo wa ligi kuu TPL kikiwa na alama 22 nyuma ya Singida Black Stars yenye alama 23 Yanga SC ikiwa kileleni mwa msimamo ikiwa na alama 24.
Real Madrid inashika nafasi ya pili msimamo wa ligi kuu nchini Hispania ikijikusanyia alama 24 nyuma ya Barcelona iliyoko kileleni na alama zake 33,ligi ya Mabingwa ipo nafasi ya 17 imekusanya alama 6 baada ya kucheza michezo minne.
Nyota huyo wa zamani wa Santos ya Brazil amekitumikia kikosi cha Al-Hilal michezo saba tu tangu ajiunge na timu hiyo kutokea PSG mwaka 2023.
Kikosi cha Yanga SC kina Wachezaji wengi wanaoweza kuziba pengo la Aziz Ki kipindi atakachokosekana uwanjani ili atafute utimamu wa mwili wake Clatous Chama na Pacôme Zouzoua ni mbadala sahihi kwenye eneo la namba 10 kikosi cha Wanachi.