Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

TFDA yafungia machinjio ya nyama

Thursday , 17th Aug , 2017

Baada ya mamlaka ya chakula na dawa kanda ya kati kufunga machinjio ya manispaa ya Singida, wakazi wa manispaa ya Singida wapo hatarini kupatwa na magonjwa yatokananyo na kula nyama kufuatia baadhi ya wauza nyama kuchinja Ng'ombe bila kupimwa.

Akiteketeza kwa moto kilo themanini na nne (84) za nyama ya Ng'ombe ambazo zilikutwa zikiuzwa katika mazingira machafu huku zikiwa zimehifadhiwa chini, Mkaguzi wa chakula kutoka TFDA kanda ya kati Bwana Aberl Deule, amesema wamefikia uamuzi wa kuteketeza nyama hiyo kwa sababu licha ya machinjio kufungwa baadhi ya wafanyabiashara wamekuwa wakichinja ng'ombe vichochoroni na kuhatarisha maisha ya walaji.

Pamoja na madai hayo, wachinjaji wanyama wa manispaa ya Singida wametupia lawama kwa mkurugenzi wa manispaa ya Singida kuacha kufanyia matengenezo na usababisha machinjio kufungwa mara kwa mara, huku wao wakiwa wamekopa fedha katika sekta za benki.

Kwa upande wake kaimu mkurugenzi wa manispaa ya Singida Bwana Deusi Luziga amekiri kuwa machinjio hayapo katika hali nzuri, ila manispaa imeanza kufanya ukarabati wa machinjio hayo na wameshatenga eneo la kujenga chinjio jingine jipya kulingana na kuongezeka kwa watu.

HABARI ZAIDI

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko

Serikali yaipongeza Red Cross

Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa

Aonya wanaochangia watumishi kutopanda madaraja

Edgar Lungu, Rais wa Zamani Nchini Zambia Akitembea Kuzunguka Mji Mkuu wa Lusaka

Rais wa zamani Zambia Bw. Lungu hatarini kukamatwa

Mkuu wa Ulinzi Ukraine (Picha ya Website)

Zelensky amfukuza kazi mkuu wake wa ulinzi

Baadhi ya Wananchi wa Chindi na Ntinga wakiwa katika Harakati za Kuvuka Mto

Walazimika kulipa hadi 8000 kuvuka mto kwa mtumbwi