Intamba mu Rugamba kutua Alhamisi kuivaa Stars

Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Burundi ,Intamba mu Rugamba' wakiimba wimbo wa taifa lao kabla ya moja ya mchezo

Timu ya taifa ya Burundi, 'Intamba mu Rugamba itawasili April 24 mwaka huu kucheza na timu ya taifa ya Tanzania,Taifa Stars, mchezo wa kirafiki utakaopigwa April 26 mwaka huu katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS