Michuano ya Tennis yafikia Tamati

Michuano ya vijana ya tennis iliyoandaliwa na chama cha tennis Tanzania TTA imehitimishwa hii leo katika viwanja vya klabu ya Gymkhana jijini Dar es salaam kwa michezo mbalimbali ya fainali kupigwa ikihusisha vijana wa chini ya miaka 12 na 10

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS