Ligi ya Kikapu Yazidi Kushika Kasi Moja kati ya michezo inayoendelea katika uwanja wa ndani wa Taifa Ligi ya klabu bingwa ya taifa ya kikapu inayoendelea katika uwanja wa ndani wa taifa jijini Dar es salaam imeendelea hii leo katika uwanja huo kwa michezo mbalilmbali kupigwa. Read more about Ligi ya Kikapu Yazidi Kushika Kasi