Wanahabari wametakiwa kujali usalama wao kazini

Mratibu wa mtandao wa watetezi wa haki za binadamu nchini Tanzania THRDC, Onesmo Olengurumwa.

Wahariri na waandishi wa habari wametakiwa kuchukua tahadhari ya kiusalama wakati wanapotekeleza majukumu yao, hasa kipindi hiki nchi inapoelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa pamoja na ule wa rais na wabunge mwakani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS