MIBURANI SEKONDARI Nani alaumiwe zaidi kwa mwanafunzi kupata Mimba? Mwanafunzi mwenyewe au wanaowapa mimba wanafunzi? Usikose SKONGA ijumaa hii saa moja kamili usiku, uone wanafunzi wa Temeke Miburani wanasemaje juu ya hilo.Submitted by Halima on Ijumaa , 11th Apr , 2014 Read more about MIBURANI SEKONDARI