Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI anayeshughulikia afya, Dkt. Deo Mtasiwa (mwenye tai) akiwa na mwenyekiti wa tume ya kudhibiti ukimwi TACAIDS, Dkt Fatma Mrisho
Serikali ya Tanzania imesema kuwa itachukua hatua kali kwa vyuo vyote vitakavyobainika kutoa elimu ya afya bila ya usajili.