Ujenzi holela chanzo cha mafuriko Dar - Waziri
Waziri wa nchi, ofisi ya makamu wa Rais anayeshughulikia Mazingira Dkt. Binilith Mahenge amesema moja ya sababu inayosababisha maeneo mengi ya jiji la Dar es salaam kufurika maji nyakati za mvua ni kutokana na ujenzi holela unaoziba mikondo ya maji.

