Octopizzo apozi na wakimbizi Rapa Octopizzo akipozi na wakimbizi Kakuma Kenya Rapa Octopizzo ameonyesha moyo wake wa upendo kwa kutumia muda wa kutosha kushiriki katika shughuli za msaada pamoja na kukaa na wakimbizi katika kambi ya Kakuma iliyopo huko nchini Kenya. Read more about Octopizzo apozi na wakimbizi