Tanzania yakiri kuiuzia Kenya mafuta ya ndege

Msemaji wa wizara ya nishati na madini Bi. Badra Masoud.

Wizara ya Nishati na Madini nchini Tanzania imethibitisha taarifa kuwa serikali ya Kenya imeomba msaada wa kuuziwa tani elfu kumi za mafuta ya ndege yanayojulikana kitaalamu kama JET A1.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS