Wiki hii ndani ya planet bongo. D-knob mwana hip hop wengi tunamjua kwa hit yake ngumu - Elimu mitaani.com, lakini sasa akiwa ametoa kitu laini zaidi -nishike mkono pale akiwa amemshirikisha Mwasiti.Submitted by Lotus on Jumatatu , 14th Apr , 2014 Read more about Wiki hii ndani ya planet bongo.