Ivan avunja ukimya baada ya kutengana na Zari
Baada ya mahusiano ya mwanadada Zari na baba watoto wake Ivan Ssemwanga kuvunjika hivi karibuni na Zari kuonekana akiwa katika mahusiano mapya na mwanaume ambaye amefahamika kwa jina la Farouk, Ivan ameamua kuvunja ukimya kuhusu kuachana kwao.