Kamati zakamilisha uwasilishaji rasimu ya katiba
Zoezi la uwasilishaji wa taarifa za kamati 12 zilizojadili rasimu ya pili ya Katiba Mpya sura ya kwanza na ya sita, limekamilika leo mchana kwa kamati zote kuwasilisha taarifa zao mbele ya Bunge Maalum la Katiba.