UKAWA wasisitiza kutorejea kwenye bunge la katiba

Mwenyekiti mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi - UKAWA Profesa Ibrahim Lipumba.

Umoja wa Katiba ya wananchi (UKAWA) umesema utaendelea na msimamo wao wa kutorejea kwenye Bunge Maalum la Katiba mpya mpaka yafanyike marekebisho ambayo watakubaliana nayo katika rasmu ya pili ya Katiba mpya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS