Kongamano la wanahabari kufanyika Bagamoyo kesho

Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari nchini Tanzania MCT Kajubi Mukajanga.

Waandishi wa habari na wadau wa habari wapatao 200 wanatarajiwa kukutana hapo kesho katika kongamano la Mwaka la maadili ya Uandishi wa Habari.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS