Zawadi nono kwa taarifa za tukio la mlipuko Arusha
Jeshi la Polisi nchini Tanzania, limetangaza kutoa zawadi ya shilingi milioni kumi kwa atakayewezesha kupatikana wahusika wa milipuko ya mabomu, hususani waliolipua baa ya Night Park ambapo pia imewaomba watu wachukue tahadhari kwenye mikusanyiko.