Habida kusuka kazi zake Bondeni
Msanii Habida kutoka nchini Kenya, ameweka wazi kuwa baada ya kusaini mkataba na lebo ya muziki ya Gallo Records ya huko Afrika Kusini, ratiba ya maisha yake imebadilika sana ambapo kwa sasa muda mwingi anakuwa huko Afrika Kusini kikazi.