Usafiri kutoka na kuingia Dar waanza kurejea
Mamlaka ya usafiri wa majini na nchi Kavu nchini Tanzania Sumatra imesema hali ya usafiri wa kuingia na kutoka jijini Dar es Salaam imeanza kurejea baada ya huduma za usafiri kusimama kwa siku kadhaa kufuatia miundombinu kusombwa na mafuriko.