Hati ya Muungano ipo salama: Ikulu
Ikulu ya Tanzania kupitia kwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue imeonesha hati ya muungano wa Tanzania, kati ya nchi ya Zanzibar na Tanganyika na kuwahakikishia Watanzania kuwa nyaraka hizi muhimu ziko salama. Soma taarifa ya Ikulu hapa: