Wakandarasi hawahusiki Kuharibika kwa miundombinu
Wizara ya ujenzi nchini Tanzania imesema kuharibika kwa miundombinu kulikotokana na mvua zilizonyesha kwa siku kadhaa maeneo mbali mbali nchini hakutokani na ubovu au uzembe wa wakandarasi waliojenga miundombinu hiyo.