Nooij aita 22 Stars kuikabili Zimbabwe

Kocha mkuu wa Taifa Stars Mart Nooij

Kocha mkuu wa Taifa Stars ametangaza kikosi cha wachezaji 22 watakaoikabili Zimbabwe May 18 mwaka huu huku akiwaweka pembeni wachezaji waliopatikana kupitia mpango wa kuboresha Taifa Stars.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS