Amileena kuzindua video harusini
Msanii wa muziki Amileena kutoka nchini Kenya, amejipanga tayari kwaajili ya kuachia video yake mpya ya ngoma inayokwenda kwa jina Naona Bado kwa namna ya kipekee, ambapo tukio hili litafanyika katika harusi ya bosi wa lebo ya Grandpa, Refigah.