Demarco ajipanga show ya Uganda
Mwanamuziki wa kimataifa kutoka nchini Jamaica, Demarco ambaye anatarajia kufanya onesho la aina yake nchini Uganda, ameonesha kupania kufanya kitu cha aina yake siku ya onesho, baada ya kutanguliza timu yake nchini humo kwa maandalizi.