Kideo cha 'Kerewa' Bondeni Msanii wa Bongo Shettah Msanii Shettah a.k.a baba Qylah wa Bongo akiwa moja kwa moja kutoka Durban Afrika Kusini, ameweka wazi mzigo wa zawadi kubwa kutoka kwake hivi karibuni, video ya ngoma yake ya Kerewa akimshirikisha Diamond Platnumz. Read more about Kideo cha 'Kerewa' Bondeni