Kizito afikishwa Mahakamani Kizito Mihigo na watuhumiwa wenzake Kesi ya msanii wa muziki wa nchiri Rwanda aliyewekwa kizuizini kwa mashitaka ya ugaidi, Kizito Mihigo pamoja na washirika wake, imeanza kusikilizwa ambapo wamesomewa mashtaka yao katika mahakama mjini Kacyiru, Rwanda. Read more about Kizito afikishwa Mahakamani