Mirror kurejea kwa kishindo na Kokoro
Staa wa muziki kutoka Endless Fame, Mirror ambaye anafanya poa kwenye chati mbalimbali kupitia ngoma yake ya Baby na Buguruni, amesema kuwa kwa sasa yupo tayari kurejea kwa kishindo na kazi mpya ambayo inakwenda kwa jina Kokoro.