Video ya "Nikikuona" yamvuta juu zaidi Cyrill

Cyrill Kamikaze

Staa wa muziki Cyrill Kamikaze, siku nne tu baada ya kutoka kwa video ya ngoma yake ya Nikikuona aliyoifanyia nchini Kenya, ameanza kujivunia mafanikio ya kazi hiyo, ikiwepo kuinyanyua rekodi ya ngoma hiyo ambayo ilitoka takriban miezi 2 iliyopita.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS