Usajili wachezaji hatua ya awali Tanzania bara leo
Usajili wa wachezaji kwa hatua ya kwanza msimu huu (2015/2016) unaanza leo hadi Agosti 6 mwaka huu wakati kipindi cha kutangaza wachezaji walioachwa au kusitishiwa mikataba ni kuanzia Juni 15-30 mwaka huu.

