Rais Kikwete aanza ziara ya nchi tatu Ulaya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatatu, Juni Mosi, 2015 ameanza ziara rasmi ya wiki moja katika nchi tatu za Ulaya kwa mwaliko wa viongozi wa nchi hizo. Read more about Rais Kikwete aanza ziara ya nchi tatu Ulaya